Wednesday 6 April 2011

lunch time leo"PORK STIR FRY WITH COCO"S OIL"

mbuzi katoliki fillet nusu kilo(strips cut)

kitunguu(julienne cut)

kaanga mpaka ikiwa hivi

 add onions
weka vitunguu

pork  stir fry
tayari kwa kuliwa

INGREDIENTS
*500 gm pork fillet strips cut
*5 chopped garlic(kitunguu swaumu)
*2 tablespoon tamarind juice(ya ukwaju)
*2 Tbsp. Oyster Sauce(mafuta samaki ukikosa si lazima)
*1 Tbsp. Chili Paste
*3 Tbsp. Soy Sauce
*3 Tbsp. Coconut Oil

changanya viungo vyote na nyama kwenye bakuli koroga na uache kwa muda wa dakika 30.

kwenye bakuli ingine kwa ajili ya sauce changanya
nusu kikombe maji,
oyster sauce(2 tbspn) na
unga (corn au ngano 1 tbspn).

METHOD
weka mafuta kwenye pan vijiko vinne yapate moto,changanya na nyama kisha ukaange mpaka ionekane kama inakaribia kuiva.
weka vitunguu kisha changanya tena kwa muda kidoogo,kisha sasa weka ule mchanganyiko wa sauce hapo mwisho huku ukichanganya changanya juu chini,kushoto kulia,mbele nyuma mpaka iive na kutoa harufu nzuuri.

tayari kwa kusave, kwa wali,ugali,mihogo,makande ni wewe tu wa kuamua



No comments:

Post a Comment