Wednesday 4 August 2010

AFRICAN CHALLENGE CUP IN STOCKHOLM,TANZANIA WIN 3-KENYA 1

kikosi cha tanzania
ilikuwa shangwe siku ya jumamosi pale kikosi cha tanzania kilipowabugiza wakenya mabao yasiopungua matatu kwa moja.kama kawaida yao vijana wa kilimanjaro walipiga kipute kwa dakika tisini huku wakichachafya kwa chenga kali kali na mashuti ya maana mpaka mpira unaisha kiasi cha timu ya kenya kutoka ulimi nje kwa mbio walizokimbizwa,licha ya kenya kuwa na sapoti ya hali ya juu pamoja ya washangiliaji na balozi wao kuwepo pale lakini walishindwa kuhema juu ya timu ya watanzania,mpaka mpira unaisha TZ 3 Kenya 1,na baada ya hapo ilikuwa hakuna la zaidi ya kuondoka na kikombe kisha pilau toka kwa mwenyekiti.

2 comments:

  1. bila shaka hukuwepo kabisa goli zilikuwa tanooooooooo kwa moja 5-1

    ReplyDelete
  2. mdau hapo juu,kweli siku wepo lakini vyanzo vilivyokuwepo vilisema tano na baadae nikapata taarifa kutoka kwa hao wenzetu wakisema ni tatu moja,sasa naona waliona noma kusema tano teh teh.

    ReplyDelete