Thursday 26 August 2010

ROUND&ROUND IN STOCKHOLM


nikiwa na george"mukulu"tukilamba kilaji.mkuu huwa tunagongana sana maana tuna hobby moja "kula-mayi"basi,maisha yenyewe mafupi haya.
  kama unavyojua tena baada ya "kula-mayi"ikikolea raha unajipa mwenyewe.hasa likipigwa sebene la twanga ama ngwasuma.unapunguza stress.
hapa nilikutana na mangi na george a.k.a. side kwenye mipakazo yetu pale sebuleni kwa DEKULA-VUMBI,tulienda kulisakata zembwela na sendemaa bila jasho.tukutane tena ijumaa na jumamosi pale STOCKHOLM SODRA waungwana.

No comments:

Post a Comment