Thursday 5 August 2010

MAMBO YA UGALI-CHANGU ROSE GARDEN YUMY!

waweza karibia ukatafuna kwa picha jirani
Hapo unachapa menyu yako na ugali saaafi unashushia na tusker briiiidi huku maji yapo pembeni ya kupoozea halafu kuna ..........?!inakungoja kwa tabasamu kali na macho ya kuita.
NB:USIJARIBU KAMA HUNA FWEZA.

No comments:

Post a Comment