Wednesday 18 August 2010

MISS AFRICA PRE-SELECTION BASH ON 3rd september2010


miss afrika pre-select bash itafanyika hapo tarehe 3sept,ambapo warembo watachekechwa kabla ya kuchaguliwa wale ambao watashiriki kinyang"anyiro hicho kitakachofanyika ndani ya meli tallink silja line hapo 8-9 october,warembo zaidi ya 18 washajitokeza.bado warembo kutoka tanzania tu ndio hakuna aliyetuma maombi na picha.siku zimebaki chache jamani jitahidini.ku-apply na ku-book ticket yako kwa ajili ya cruissing,click link nimeweka hapo pembeni kulia.na baadhi ya warembo waliokwisha jitokeza ni hao hapo chini .karibuni

miss annete nnena nkechi-sweden
miss selamawitt-ethiopia
miss eunice toka kwa watani wa jadi-kenya,washajisifia watachukua taji kwa mrembo wao huyu!warembo wabongo mupo?

annete

miss sayuni ruhweza-uganda
miss ammy nyang"amy cole"-gambia,senegal

miss fatou maryama stellah-gambia

miss hallex berry(utani huu)-cameroon,sweden.

hallex berry

miss lina-ethiopia+sweden

mirash davis-ghana+sweden
mirash again

emilly kawesa -uganda
soumeya seydou-togo+sverige.
warembo ndio hao jamani,warembo toka TANZANIA mnahitajika mjibebee mizawadi ya bure hii.JIANDIKISHENI

No comments:

Post a Comment