Saturday 21 August 2010

NYAMA CHOMA FITJA IJUMAA ILIYOPITA

nyama choma ikiwa inapata haki yake motoni.
 tukiitwa na dada zetu waafrika wakikwambia wanachoma nyama mara nyingi mi huwa nahakikisha naenda maana huwa inakuwa real good event,sasa nyama choma hii nilikutana na ugali na matembele na chachandu huku mapande ya nyama yamoto-moto unajichukulia tu aloo,achana na hiyo biashara.pembeni kulikuwa na biere,birra,cevejja(bia), ama "lwalwa" kikwetu

da sophy ndio alikua anahakikisha nyama zinaiva kimasai maana ye mmasai bwana.
myna na melisa walikuwepo na familia zao kama kawaida.
dada yetu toka mozambique asifuna pia alikuja ingawa late lakini alihakikisha anafika
bella naye hakukosa siku hiyo ingawa si mpenzi wa nyama lakini alikuja chunga mzigo wake teh teh.
hapa kinywaji ilikua ishateremka kiasi chake,na hayo makopo ya dhahabu hapo huwa hayakopeshi.aladji,aladji ilishaanza.
muda wa kuondoka nikajitahidi kuweka pozi nikipiga picha ki-hip-hop likakataa lakini ikatoka kiivyo umri ukikutupa mkono bana noma kweli.

No comments:

Post a Comment