Sunday 8 August 2010

TANGA KUNANI PALEEEEE!


Nasikia huko pwani(mbwani kikwetu) mambo ya mabeki tatu kulowesha kanga na kukatiza katiza sebuleni wakati mzee unatafakari maisha mida ya jioni kwa kikombe cha chai na ujugu(karanga)ni kawaida,na hapo hapo mzee ukiona akili inaanza kuchemka huku usawa wa kati ukianza kupima uzito na mara moja akili kuanza kuwaza kufanya mapinduzi yasiyo rasmi ndani ya nyumba ili kumpa likizo ya muda mama fulani.usicheze na kanga moja bana,hasa iliyolowekwa kisha ikatingwa kwenye mwili wa kabinti ka-kibantu haswa waweza piga yowe kama umepigwa konzi vile.
picha:jestina blog

3 comments:

  1. walaghi hawa watu wahukumiwe lol hakuna maumivu mabaya na makali km kuchukuliwa mali yako hasa mume au mpz bora kuachana kwa staili ingine lakini si kuibiwa lazima pachimbike tena bila jembe

    ReplyDelete
  2. hawalaaniwi wala nini na nyie kazaneni bana acheni uvivu mtanyanganywa waume.

    ReplyDelete
  3. Lol isack tukazane mpk wapi hamridhiki nyie km paka utampa maziwa na samaki but stil akiona nyau anamkimbiza mbn mnatupajaka moyo sie jamani na ndomana hata tunazeeka mapema mana kila kukicha tunapanga maarifa ya kuridhisha nyie na mwisho wasiku it doent work out wanaume nyie.......... cjui wenzetu mliumbwa sanagapi

    ReplyDelete