Sunday 8 August 2010

FIESTA JIPANGUSE ILIVYOFANA DAR JANA USIKU KUAMKIA LEO.

 
ni nature na lil-kim tena.sema wewe mdau

 nyomi lilikuwa kama kawaida unavyojua wabongo kwa starehe.ponda raha kufa kwaja.

huyu anaitwa baby J nae akitumbuiza mashabiki


hawa ni wazee wa aladji-aladji kutoka huko west afrika mdau huyo mama kulia naona kafunga na tela kabisa.


ni bracket na mambo yao ya yori-yori kama kawa kanyimbo safi sana hako.

ni juma nature na lil kim wakifanya vitu vyao,naona lil-kim alipagawishwa na nature hahaa,ugali-ugali.

1 comment:

  1. Wazi Nature, napenda sana nyimbo zako ni za mafunzo na za busara, usisahau kusali mara kwa mara ili mumba wako akupe ndoto zaidi ili uzidi kutumwagiamwagia NATURE. Faith, Heidelberg Germany.

    ReplyDelete