Monday 2 August 2010

VIDEO-ILLEGAl IMMIGRANTS WANAVYOFANYIWA FRANCE,SHAME


dah ni kweli tuna njaa na shida lakini ikifikia hali kama hii sikubali niko radhi nirudi afrika nikalime,this is too much,lakini hawa kina mama na mimba zao na watoto kwenda ku-protest tena ya nini jama?halafu nchi ya watu we mimba ya kwanza unazaa,shughuli haieleweki baba hajulikani mimba ya pili tena unazaa hali ndio kama hivyo unategemea social,jamani wakati mwingine tunawatafuta watu ubaya jama.

2 comments:

  1. Aibu kubwa jamani, lakini pia ni unyama wa hali ya juu kwa watoto.

    ReplyDelete
  2. mukisikia ulaya sio kama nchi zote zinafanana heri ubaki bongo kuliko ufaransa ni ulaya mbuzi tu

    ReplyDelete