Wednesday 25 August 2010

LAZEE ALIVYOWARUSHA WATU THE VOICE CONCERT 2010 STOCKHOLM



 hapa lazee akiingia stejini
mda huu watu walikuwa wamechizika maana dogo alikuwa kawapa vitu si vya kawa
lazee akiendelea kupagawisha
bila kusahau QUINCY JONES alikuwepo back of stage kumshuhudia kijana akikamua mavitu,LAZEE anakubalika sana hapa sweden,mi si mpenzi sana wa HIP-HOP lakini nilinawa mikono



No comments:

Post a Comment