Sunday 8 August 2010

MAMBO YA MIPAKAZO NA RAHA ZAKE


mdingi kashajipigia box lake kapata visenti vyake na sasa ni muda wa kupooza koo.,sio kwamba ni tajiri ama anapenda starehe lah,ni lazima achangamshe akili na mawazo kujua kesho ataikabili vipi dunia hii maana kila siku ni mitihani unawaza sijui itakwisha vipi.tafakari.

No comments:

Post a Comment