Tuesday 3 August 2010

AKATALIWA KU-REGISTER GARI LAKE KWA MANENO HAYA(FCKU2MF)


chizi mmoja kaomba kuweka no plate inayosomeka hivyo (FCKU2MF)kwenye gari lake,wenye sheria wamemtosa kwa kigezo kwamba atakuwa anatukana kila mtu anayesoma hiyo no plate vinginevyo wangempa the the.

No comments:

Post a Comment