Sunday 8 August 2010

HAYA MASWALA HAYA DAH! TUNAUMIZANA TU.


JAMAA AKIWA ANASHUGHULIKIA KUANDAAA MASWALA.

hapa ngoma ikiwa imeshapakuliwa inasubiri mashambulizi toka pande zote za uwanja


mbuzi choma,ugali na kambuchari+piri piri ama chachandu
hapo ndio ngoma ikiipuliwa mbele ya macho ya raia kabla ya kuanza kufanyiwa harambee,dah jamaa yangu toka afrika jana ndio kanipa haya maumivu. kunitumia hizi picha mpaka sasa naugulia tu,nikaona bora tugawane maumivu na hasa wapiga box wenzangu,ambao tuko mbali na upeo wa hii kitu.

No comments:

Post a Comment