Monday 23 August 2010

lunch time"MAPISHI YA UGALI NA SUKUMA WIKI"enjoy

sukuma wiki

kitonge-ugali hapa sitaelezea najua wengi mnaelewa namna ya kuupika

Sukuma Wiki
Serves 4
3 T. oil
2 medium onions, chopped
3 large tomatoes, chopped
Leftover meat (optional)
1 lb. sukuma wiki (wild greens), kale, or spinach
Salt and freshly ground black pepper to taste
Hot pepper sauce
Fry onions in oil in large pan. Add tomatoes and any leftover meat. Cook together until tomatoes are soft. Cook chopped spinach. Add spinach to onion mixture and cook over low heat 20 minutes. Season to taste. Serve with ugali. Sprinkle hot pepper sauce over Sukuma Wiki if desired.

haya watani wa jadi wanakwambia ukitaka kupata mtoto mwenye akili kama ya OBAMA piga hii kitu halafu ingia kwenye shughuli,nadhani kuna ambao mtaenda kufanya hiyo experiment.msisite kuleta matokeo.

2 comments:

  1. umm im kenyan yippie

    ReplyDelete
  2. Wakat mwingine pia, weka in swahili, ili wote wapate maana kamili.

    ReplyDelete