Friday 13 August 2010

UJUMBE KWA WADAU WANGU HAPA.

baada ya kupata maombi mengi toka kwa wadau wa blog kuhusu movie za kibongo,sasa na mimi nitawapa ile kitu roho inataka.ili ku-promote movie za nyumbani ntawawekea wadau movie kila siku ya ijumaa hapa ili mufaudu week-end.najua wengi mna hamu nazo na mnapenda kuziona al-mradi mjikumbushe mazingira ya nyumbani.basi hapa kila ijumaa utajipatia movie yako moja ya kibongo kwa kiingilio cha bure.karibu na nitumie ujumbe kama una lolote la ziada.

No comments:

Post a Comment