Wednesday 4 August 2010

MIAKA 10 YA LADY JAY DEE STEJINI TAR 6 august MSIKOSE

Tar 6 Agust ni Show Kubwa ya Miaka 10 Ya Lady JayDee....Chagueni Nyimbo Mnazopenda kuzisikia Nitajaribu kugusa kuanzia, Machozi, Binti, Moto, Shukrani na Album ya Combination ya Machozi Band
unajitahidi sana mama kweli wewe ni komando,umetoka mbaaali.

No comments:

Post a Comment