Thursday 26 August 2010

WA-NIGERIA NA U BUSSY WA BIASHARA YA MAPENZI

nimeshtuka leo baada ya kusoma kwamba kuna binti wa miaka 16 toka nigeria amekamatwa na wenzake sita wakiuza mapenzi.baada ya kuhojiwa akakiri na kumtaja "BOSS" ambaye amewaleta kwa biashara na kusema yeye aliuzwa na mama yake kwa huyo boss kwa bei ya euro60,000=sek 565000.haya wanunuzi 20 wa mapenzi wametambuliwa na wamekubali kulipa faini.na inasemekana huyo BOSS wao mwanamke pia yuko huru na yuko AFRIKA kuchukua vibinti vingine(malighafi) kwaajili ya kuvileta kwa biashara(angejua kimewaka angeishia hukohuko),na inasemekana hivyo vibinti vinamwogopa sana boss wao sababu anaaminika ni mkali wa ndumba yee a.k.a(VOO-DOO).habari toka kwa chanzo chetu zinasema binti huyo amesema katika biashara hiyo anatengeneza zaidi ya kr 170,000 kwa mwezi na kulipwa kr 18,000! kwa kutembea na wastani wa wateja 85.kabla ya mabosi wake kukamatwa.na kama kawaida social service wamempa zawadi ya uraia na mahali pa kukaa baada ya kazi nzito.

haya jamani mitaani huko chonde,maana waweza kuona umeopoa ka-tineja fresh cha kiafrika kumbe umeokota  ngoma ya lopmarknad varberg maana hata ya kununua blocket ina afadhali.used saaaana.

No comments:

Post a Comment