Tuesday 3 August 2010

VIJIMAMBO NA VIJAMBO VYA KHANGALICIOUS-UK

naona watu walipendeza na kanga zao inavyotakiwa,jamani huu ni wito si lazima mvae LV,DG,ama nguo zozote zenye majina kanga nayo yatosha kukufanya mrembo.
lol

ndio maana watu hawataki kukaa sverige,kila raia aah naenda uk,naenda uk kumbe mambo yenyewe ndo haya?namimi nakuja bana.

mmh naona wadada zetu walipendeza kama ilivyopaswa kwa mtoko wa kanga kama kawa.
eeeh unaniita?

mmh kweli watu walipendeza vizuri sana kanga party jamani sverige tuandae vitu km hivi pia,sio kila siku tuwe watu wa kuchungulia

wenzetu tu,najua tunaweza kama tukiweka nia,mbona mpira tuna timu kali tu iweje urembo tuubanie,ni vijimambo tu vitakavyofanya tuchangamke jamani.

No comments:

Post a Comment