Sunday 8 August 2010

KANUMBA NA MOVIE MPYA YOUNG BILLIONEA USIPIME.


kava la movie hiyo kali.

aunt ezekiel kama kawaida amefunika vibaya humo ndani kimitego mmmh.

mtaalam wa ma-voko muzee wa ngwasuma patcho a.k.a tajiri yumo ndani ya muvi hiyo.

Mkali wenu wa mamuvi makali ya kibongo kanumba sasa muvi yake ya young bilionea iko mitaani,muvi hiyo ambayo muonekano wake tu unatisha imeingia mitaani kwa kishindo huku ikigombewa ka njugu,haya wadau wa movie za home mjikunje mkanunue kopi zenu halali baadae na mimi nikiipata ntawawekea hapa buloguni.

2 comments:

  1. huwa nacheka sana huyu mkuu patcho kujiita tajiri siku hizi nikikumbuka alivyopigwa na moto wa bongo kipindi cha wajelajela original mpaka ali-freeze,mizinga miingi bar.eti sasa anajiita tajiri-hahaa kweli adui muombee njaa.

    ReplyDelete
  2. ingawa patcho si adui yangu msinielewe vibaya waungwana.

    ReplyDelete