Sunday 8 August 2010

NIMEIPENDA SANA HII PICHA LEO.

kuna watu wanaishi mazingira magumu jamani acheni mchezo,hapo ndio centrum yao huko kijijini yaani ndio wanakuja hapo kununua mahitaji yao ya kila siku ama ukipenda waweza ita shopping mall yao,hawana stress ya kodi wala nauli wala rent,wanaishi na wana furaha vibaya sana kupita sisi wa mjini mjini,wala huko hawahitaji kuhangaika na immigration ili warekebishe maswala,sasa kambebe mtu kutoka hapo kijijini sasa hivi kisha mlete hapa stockholm kama atakuelewa,baada ya siku mbili lazima ugomvi mkubwa utokee akikutaka umrejeshe nyumbani kwao kijiji.tusimlaumu boban tu maisha magumu haya.
 picha:mjengwa blog

No comments:

Post a Comment