Tuesday, 24 August 2010

BONGOWOOD STAR ARTIST-ELIZABETH "LULU"

Elizabeth Michael"LULU" 
ni msanii anayejitahidi kadri ya uwezo wake kuigiza.mara ya kwanza nilimuona katika movie ya FAMILY TEARS,movie ambayo KANUMBA na RICHARD wameshiriki.na humo ndani huyu binti amejitahidi sana kuigiza hasa ukizingatia kameigiza kama kitoto fulani hivi cha geti kali.sijamuona tena kuigiza katika muvi nyingine.na ziada sasa kabinti kanaandamwa na viskendo kibao kibongo-bongo.sasa sijui mapromota tayari washafanya mambo yao ya promosheni ama vipi.na kwa uvaaji huu na ukaaji ule nadhani jibu unalo mwenyewe.

2 comments:

  1. mwacheni maana mmemwandama sana hakuna mkamilifu hata nyie hamjatimia tena huenda mnafanya maovu zaidi yake bara yeye anajulikana wazi watu watamwombea kwa mungu abadilike je nyie watu wazima mnaofanya kwa siri mtaombewa na nani?mbona wakubwa hamwataji au mnamuonea dogo?

    ReplyDelete
  2. Elizabeth LULU, doit avoir ses raisons propre l'essentiel c'est de l'écouter et analyser enfin son sort.
    Que Kanumba Steven trouve sa place dans l'audelà et que son âme repose en paix

    John KAHONGA,DRC

    ReplyDelete