Wednesday, 26 September 2012

BWATAZ ZA STOCKHOLMER!


 

 Juzikati hapa katika mizunguko yangu fulani nikakutana na ndugu zangu ambao tumepotezana muda sana kutokana na mambo ya kuchanganya "ABARI",siku hiyo ndo tukakutana na bata ndio likaanza kama hivi
 
 yaah timu ikakamilika namna hii maana nilipokutana na mabingwa hawa wa mipakazo mjeru na yanga aby ndio ligi ikaanza 
ustaadh nae alipita kunipa hi na tukapata taswira
kisha niece wangu nae alipita kunipa hi,tukafurahi kidogo
hahusiki na hizo chupa ni mm tu
 
Mjeru,Isaackin na Yanga boy a.k.a. "profesor ndumila"

                                         Mr Isaackin na Mjeru,"Freemason" huyu jamaa(j**e)
 ISAACKIN NA DARSTOCKHOLM
 
"naongea na wewe"
nilikutana pia na mkuu huyu ambae tuko pamoja kwenye libeneke hili la kuglobua hapa stockholm.

kama mnakumbuka kipindi cha nyuma kuna mdau mmoja anonymous alikuja kuchafua hali ya hewa akituaga kwamba anahama toka ISAACKIN blog anahamia DARSTOCKHOLM blog,nasi hatukusita kumuaga tena kwa MATARUMBETA aende vizuri,wadau ni kwamba yule bwana (mwanakondoo) alisharudi kinyemela maana aliogopa kusema karudi akijua tutamkaribisha tena kwa MATARUMBETA!
Basi ndio hivyo huyo mdau alisharudi kimya kimya na huwa anaendelea kutuma ufyolo wake kwenye comment zinazotuchafulia hali ya hewa kama vile gari ya pronto imepita.
namimi huwa sichelewi natupa kulee

No comments:

Post a Comment