Thursday, 13 September 2012

FC KILIMANJARO YAPANDA DARAJA BAADA YA KUICHABANGA COOL RUNNING 10 - 1

 
 
FCKILIMANJARO imepanda daraja katika msimu wetu wa kwanza ligi daraja la saba Sweden huku ligi ikiwa imebakisha mechi 5 ligi iishe kwa kuifunga Cool Runnings IFK kwa bao 10 - 1

No comments:

Post a Comment