Monday, 10 September 2012

Uzinduzi wa video mpya "BAADAE" by OMMY DIMPOZI ndani ya NEW MAISHA CLUB


Usiku wa kuamkia leo msanii anayeshikilia tuzo mbili za Kilimanjaro Ommy Dimpozi alikuwa akizindua video yake mpya inayokwenda kwa jina la BAADAE ambayo location zake zilichukuliwa Joz South Africa na video kuzinduliwa Bongo ndani ya New Maisha Club kiwanja cha nyumbani.

Wasanii wenzake walikuwepo kumsindikiza Ommy Dimpozi, msanii kama Chege Chigunda alikuwa mmoja kati ya wasanii  waliofanya poa sana na kupata shangwe nyingi hadi kufikia time ya Ommy mwenyewe kupanda katika steji ya Maisha Club


PHOTO BY BONGOSTARLINK

No comments:

Post a Comment