Thursday, 13 September 2012

MISS KINONDONI 2012 VIPAJI KATIKA PICHA


Mrembo Brigitter Alfred alionyesha umahili wake katika nyimbo za kihindi.
Mrembo Irene akionyesha mbwembwe zake katika kucheza.
Mrembo Nahma Saidi.
Mrembo Ester Musa alionyesha kipaji cha kuimba.
Mrembo akionyesha umahili wa kukata mauno.
Mrembo Kudra Lupati katika pozi mara baada ya kumaliza kutambulisha vazi alilobuni mwenyewe.
Mrembo akionyesha kipaji cha kuchora mlima Kilimanjaro.
warembo walioshinda Kinyang'anyiro cha Miss Kinondoni Talent kutoka kulia ni Judith Sangu, Brigitter Alfred na Diana Hussein.
Warembo wakiserebuka mara baada ya mchakato wa kusaka vipaji kuhitimishwa.
... Hapa warembo wakijiachia kwa mwendo wa kwaito baada ya kazi furaha..

No comments:

Post a Comment