Saturday, 15 September 2012

SHISHI ALIYEFUNGASHA

 

JINA KAMILI: Mwasiti Mohammed
KAZI: Uigizaji
KABILA:  Mbulu
A.K.A: Shishi MAKAZI YAKE:  Mbagala -Dar.
“Natamani sana kupungua kwa sababu sipendi unene.”
KUHUSU MAVAZI YAKE
“Huwa napenda kuvaa dira ili kuficha haya makalio yangu.”
SAIZI YA NGUO YA NDANI
“Nivae nguo ya ndani saizi yangu nitaipata wapi?”

No comments:

Post a Comment