Sunday, 16 September 2012

MANENO YA DIAMOND KUHUSU DEMU ALIYETOLEWA NAE JANA GAZETINI

 

Dah! kiukweli nimesikitishwa sana na taarifa za mwanadada huyu kujinadi kua anamahusiano na mimi ya kimamapenzi na eti tunamipango mingi ikiwemo ya Harusi ndani yake...  dah! kiukweli nimejiskia vibaya sana Kwani taarifa azitoazo msichana huyo si za kweli kabisa, Nilikutana nae Malindi akiwa kama mmoja ya Waandaaji wa tamasha hilo niLIlokwenda kutumbuiza na mbali ya hayo pia alikua ni mdogo wa Mwenyeji wangu wa Malindi, hivyo nilikua nikimchukulia kama dada yangu kumbe mwenzangu alikua anamipango mingine...kiukweli nimejiskia vibaya, Nimehisi kama Ukarimu wangu kwake na kuwa nae huru kama mmoja ya wenyeji wangu umeniponza, badala yake anatumia picha tulizopiga nae kwa namana nyingine....Ukweli ni kwamba MWANADADA HUYO SINA MAHUSIANO NAE YA KIMAPENZI KABISA.... MPENZI WANGU NAAMINI KILA MTU ANAMJUA.....

No comments:

Post a Comment