Sunday, 23 September 2012

EEH,LEO KAZI ILIKUA NZITO SANA LEO,ULEZI KAZI
kwa shughuli hii mwenyewe ukirudi toka job umechooka unakuta hivi unaweza kumchinja mtu walah

3 comments:

  1. Yaani kaka Isaac,sasa hatujui mimi na wewe na wengine utoto wetu ilikuwaje!!!!!kazi kwelikweli unaweza kuzimia mzazi hahahahaha.......

    ReplyDelete
  2. hii picha sina hakika upiga wapi kama ni huku america huyo mwenye huyo mtoto ananyanganywa huyo mtoto maana hana ulinzi mzuri atakuwa wapi mpaka mtoto ajipake rangi namna ile na angekula je si ingeleta madhara zaidi

    ReplyDelete
  3. da rachel nimewaangalia hawa jamaaa nikaishia kucheka tu.

    ReplyDelete