Monday, 17 September 2012

UCHAGUZI WA VIONGOZI - JUMUIA YA WATANZANIA SWEDEN

 TANGAZO!
 

KWA WATANZANIA WOTE WAISHIO SWEDEN.


KAMATI YA MUDA INAWAKARIBISHA KATIKA HAFLA NDOGO YA KUCHAGUA VIONGOZI.

WACHACHE WAMEJITOKEZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI NA WENGINE AMBAO WANGEPENDELEA KUGOMBEA PIA WANAKARIBISHWA (NAFASI BADO ZIPO)!


MAHALI: UBALOZINI, NÄSBY ALLÈ 6
TAREHE: 29/9/2012
SAA: 9-12 Jioni

WOTE MNAKARIBISHWA!!!!!!!!!!

Bi. Seynab Haji
Mwenyekiti wa Muda, Jumuia ya Watanzania, Sweden.

No comments:

Post a Comment