Monday, 24 September 2012

USIKU WA MITINDO MBALAMWEZI BEACH WAFANA

 
Wanamitindo mbalimbali wakipita stejini.
 
Wadau wakifuatilia mashindano hayo.
 
MC katika maonyesho hayo Irene Tilya ambaye ni Mtangazaji wa Toneradio, akiwa kazini.
 
Akina kaka nao wakiwa jukwaani kuonyesha mavazi.
 

Mkuu wa Operesheni wa Tone Mult-Media Company Limited, Sillas Mbuya akifuatilia mashindano hayo.
WABUNIFU wa mavazi katika usiku wa mitindo uliofanyika Mbalamwezi beach walikuwa ni Diana Magese, Mitindonite iliwakilishwa na Ally, Amin, Wancy na Matrida, Bambo collection, Renee, Cocoriko, William Johnson, Veronica Ruhenzi-VS collection, Dorcas, Subira, Salim Ally, na Wavisa Collection.
Wengine ni Onfe collection, Baby Jullieth Collection na Hamidi Abdul collection.
Maonyesho ya mitindo ya mavazi, yameandaliwa na Mitindonite Afrika na kudhaminiwa na Darling, Equity Bank, Tone Mult-Media Company Limted ambao ni wamiliki wa Tone radio, Blogs za mikoa na Thisday Magazine, Secret Lengerie wauzaji wa nguo za ndani za wanawake, Amaya Beauty Solon & Spa, Better service, small axe, Qice photo sport, Real Burger, Fashion News, Pekuatanzania na Mdee Trans.

PICHA ZOTE NA: www.blogszamikoa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment