Tuesday, 18 September 2012

HAPPY BIRTHDAY BRODA FRED MASHIRI


YAP NDUGU LEO ANAFIKISHA MIAKA KADHAA YA KUZALIWA,SAFARI BADO NI NDEFU KAMA MNAVYOMUONA HAPO BADO ANADAI SAANA,
KAMA GARI NDO INAONDOKA UBUNGO KWENDA KIGOMA,KAMA KAWAIDA BLOG YA ISAACKIN INAMTAKIA SAFARI NJEMA DUNIANI YENYE HERI NA AFYA KIBAO,HAPPY BIRTHDAY MUKUBWA.

No comments:

Post a Comment