
KAMATI YA MUDA INAWAKARIBISHA KATIKA HAFLA NDOGO YA KUCHAGUA
*VIONGOZI WA JUMUIYA SWEDEN.*
WACHACHE WAMEJITOKEZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA OUNGOZI NA WENGINE
AMBAO WANGEPENDELEA KUGOMBEA PIA WANAKARIBISHWA (NAFASI BADO ZIPO)!
MAHALI: UBALOZINI*,** *
*NÄSBY ALLÈ 6*
*Tarehe: 29/9/2012*
SAA: 9 mchana mpaka saa 12 jioni
WOTE MANAKARIBISHWA!
HUU UPUUZI SIUPENDAGI MIMI...... SIONI KAZI ZAO HATA HAO WALOPITA MAJUNGU NA UNAFKI WWATZ SWEDEN SIJUI TUKOJE
ReplyDelete