Monday, 10 September 2012

MAKAMUZI YA LINAH LONDON


 Linah katika pose kabla yakuingia stajini
 Linah ndani ya Solar Club London
 Chris Luv akimtambulisha Linah
 Ladies full kuwakilisha
 Promoter Chris Luv na warembo 
 Watu full kushine
 Moi & Baraka Shelukindo Operations Manager Multichoice Tanzania Ltd.
 
Linah akikamua 
 Watu kibao wakipata raha
 Yaliti napenda pasi kifani
 Linah akimwaga mistari
 Watu full kuenjoy
 Linah na fan wake wakijiachia
 Security ilikuwa yakutosha
 Wakina dada pia walijitokeza kushow support

 Raha kupendana eeee
 Moi with my brother Joseph & his wife aka my wii Vicky.
 Tukiwa katika pose na Linah 
Hawtt couple Mr & Mrs Matondo na Linah
 Watu full kujiachiaaaaaaaaaaaaa
 Jessica nae alikuwepo full kujiachia
 Makamuzi yakiendelea
 Happy people
 Watu walikuwepo kibao kumshow Linah support
 Kitu cha mduara kikiendelea live
Watu tulitokelezajeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

--
habari na picha-Jestina George blog

No comments:

Post a Comment