Saturday, 8 September 2012

Malfredy na Desire toka Nchini Uganda


 
Malfredy aja na brand new ragga dancehall track inayokwenda kwa jina My Desire ilofanywa Record House chini ya Producer Elly wa nchini Uganda na ngoma hii inayo video iliyo hewani katika media mbalimbali,Kampuni ya picha ikiwa ni SPK FILMZ/next edition ya huko huko Uganda,Much Love & Support Tanzanian Music.

No comments:

Post a Comment