Friday, 26 October 2012

ANNA TIBAIJUKA AHUTUBIA BUNGE LA SWEDENWaziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mhe.  Prof. Anna   K.  Tibaijuka akitoa Mada kwenye   Semina ya    Bunge  la  Sweden kuhusu " THE CHALLENGE TODAY FOR WOMEN IN TANZANIA : THE CASE FOR WOMEN EMPOWERMENT MINISTRIES IN AFRICA" jana  tarehe 25 Octoba, 2012  Mh. Tibaijuka alitoa mada hiyo  kwenye semina ya kumbukumbu ya miaka 100 ya Barbro Johansson, Mama wa Kiswidi aliyekuja Tanzania mwaka 1946 kama mmisionari na kuanzisha shule ya mfano ya wasichana (BOFYA HAPALuguruni Estate, wadi ya Kibamba Wilaya ya  Kinondoni , Dar Es Salaam

No comments:

Post a Comment