Saturday, 20 October 2012

PATA VITU TOKA KWA BOZZI BOZIANA,KOFFI OLOMIDE NA WERRASON LIVE KWA PAMOJANadhani baada ya kusikiliza wengi wenu mtakumbuka hii nyimbo"NGOBILA" ya mzee mzima BOZZI BOZIANA,ingawa saut si nzuri lakini ni moja ya nyimbo ambayo huwa napenda sana kuisikiliza ninapomkumbuka huyu mtu mzima BOZZI,uzuri wake sasa hapa iliimbwa na Fally ipupa enzi hizo na wenzie Quartie Latin,wakishirikiana na mzee mwenyewe,sasa huo mchanganyo ndo unanifurahisha.najua mnakumbuka enzi za huyu mdingi akiondoka

"yapipi ipapa yawara,yawara mutomboki yandangi kosangera,salama ngobo salamaleku andangara,mama nzawisa,eeh nzawiseee"

nyingine mtamalizia na mimi nimonimo kumbe.
haya pata kitu hicho na kingine ukitaka kama hicho bofya link hiyo  http://www.youtube.com/watch?v=CBdjhGWt7r8&feature=share&list=PLAB3BEE5DD0F73A59

na hii ya pili ni werra,bozzi na koffi rumba ni hiyohiyo NGOBILA
No comments:

Post a Comment