Tuesday, 2 October 2012

BASI LA DAR EXPRESS LAUNGUA MOTO,HAKUNA ABIRIA ALIYEKUFA

 
 
watu 65 wamenusurika kufa eneo la Segera Mkoani Tanga baada ya basi la Dar Express lililokuwa likitokea Arusha kwenda Dar Es Salaam kuteketezwa na Moto.   
habari zaidi itawajia baadaye

                                  Picha kwa Hisani ya Jamii Forums

No comments:

Post a Comment