
MDOGO WETU HUYU LEO AMETIMIZA MIAKA KADHAA YA KUZALIWA,NA BLOG YETU HII IMEONA SI VIZURI KUACHA IPITE HIVI HIVI BILA KUMTAKIA HERI,AFYA NA BARAKA TELE KATIKA MAISHA YAJAYO.

LILY AKIWA NA MWENYEKITI WA KILI INTERNATIONAL FC MUKUBWA NYUPI

LILY,JAPENGA,CHUPAS WIFE,NA MACHUPA MWENYEWE


YEAH FASHIONISTA WA UKWEEL!UKIBISHA SHAURI YAKO

LILY NA JAPENGA MZEE WA FUREESTYLE!
No comments:
Post a Comment