Monday, 15 October 2012

WEMA, AUNT EZEKIEL WAWAOMBA RADHI WATANZANIA KWA KUVAA NGUO ZA NUSU UCHI


 
Aunt Ezekiel akisisitiza jambo katika mkutano huo.
 
‘Beautiful Onyinye’ (Wema) akiwaomba radhi Watanzania.
 
Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Wilson Makubi (kushoto) akisisitiza jambo kwenye mkutano huo. Anayefuata ni Aunt Ezekiel pamoja na mwigizaji Tino Muya.
Waigizaji filamu mahiri Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, leo wamewaomba radhi Watanzania kutokana na picha za nusu utupu walizopigwa hivi karibuni katika Tamasha la Fiesta. Warembo hao waliyasema hayo katika mkutano na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Habari (Maelezo) jijini, Dar.

GPL

No comments:

Post a Comment