Friday, 12 October 2012

VURUGU ZA WAISLAM MBAGALA KATIKA PICHA

  Baadhi ya waandamanaji wakiwa jirani na Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala jijini Dar leo.
    Baadhi ya maafisa wa polisi wakinawa maji baada ya mabomu ya machozi kupigwa.
   Gari la  Kampuni ya…
  Baadhi ya waandamanaji wakiwa jirani na Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala jijini Dar leo.
    Baadhi ya maafisa wa polisi wakinawa maji baada ya mabomu ya machozi kupigwa.
   Gari la  Kampuni ya Clouds Media Group likiwa limepasuliwa kioo cha nyuma.
  Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Ramadhani ambaye ni dereva wa daladala naye akiwa ameambulia kipigo baada ya kujichanganya na waandamanaji.
    …Dereva Ally Ramadhani akisikilizia maumivu.
     Mmoja wa waandamanaji.
     Baadhi ya waandamanaji wakiwa wamewekwa chini ya ulinzi.
Kanisa la Sabato Mbagala Kizuiani likiwa limevunjwa vioo.
…Vioo vilivyovunjwa kanisani hapo.
…kanisa hilo la Sabato.
  ...Muonekano wa kanisa hilo la Sabato.
    Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Paul Martin ambaye alidai alikuwa akienda sokoni ndipo akaambulia kipigo.
Kanisa la Aglikana ambalo pia lilishambuliwa na waandamanaji.
…Anglikana.
   Mabenchi ya kanisa la Anglikana yakiwa yametupwa nje.
Kibao cha kanisa kikiwa kimevunjwa.
  Muonekano wa kanisa hilo la Anglikana.
Gari lililokuwa ndani ya Kanisa la T.AG Mbagala Kizuiani likiwa limevunjwa vioo.
 
…Hili lilichomwa moto.
Baadhi wa waumini wa kanisa la T.A.G wakililinda kanisa lao.
---
WATU wanaodaiwa kuwa ni Waislamu wamevamia makanisa mbalimbali yaliyopo Mbagala Kizuiani jijini, Dar wakihamasisha vurugu wakimtuhumu mtoto Emmanuel Josephat kuwa amekojolea kitabu cha dini hiyo (Msaafu) Oktoba 10, mwaka huu.
Baadhi ya makanisa yaliyoshambuliwa ikiwa ni pamoja na kuchomwa moto magari yao ni  Kanisa la Sabato, Aglikana na T.AG .
 
(PICHA/HABARI: ERICK EVARIST/GPL)

1 comment:

  1. NAWAPA POLE WOTE WLIOADHILIKA NA MAJANGA HAYA, LAKINI MUNGU MARA ZOTE ANAKUWA UPANDE WA WATU WANAO ONEWA.NHI KAMA TANZANIA HUWEZI AMINI KAMA JAZBA KAMA HIZO ZINAWEZA KUTOKEA,SISI WATANZANIA TUMELELELWA KATIKA MISINGI YA UNDUGU BILA KUJALI DINI, UKABILA,NASHANGAA KUONA MAMBO HAYA YAKITOKEA SASA, TUSEME NINI,MBONA SASA HIVI WENZETU WANATAHADHARI KUBWA KULIKO MIAKA ILIYOPITA.WAKRISTO TUENDELEE KWAOMBEA NA KUWAPENDA HAO NI NDUGU ZETU TUU. GODLVE FAITH

    ReplyDelete