Wednesday 17 October 2012

WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAKAMATWA WAKIANDAMANA LEO

Polisi wakiwa wamemshikilia mmoja wa wafuasi wa Sheikh Ponda baada ya kukamatwa akiandamana leo katika eneo la kituo kikuu cha polisi Kati jijini Dar.
 
Mmoja wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wenye imani kali akidhibitiwa na polisi mara baada ya kukamatwa leo katika kituo kikuu cha polisi Kati wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Sheikh Ponda  Issa Ponda kuachiwa na jeshi la polisi mara baada ya kukamatwa jijini Dar es salaam kwa kudaiwa kusababisha vurugu.…

No comments:

Post a Comment