Friday, 19 October 2012

PICHA ZAIDI ZA MAANDAMANO NA VURUGU ZA WAISLAMU SEHEMU MBALI MBALI DAR

MITAA YA MSIMBAZI


WaandamajiMtaa wa Livingstone karibu na I&M BankWanajeshi wakifanya doria maeneo ya Kariakoo.KariakooMaktaba House.
BAHARINI KARIBU NA IKULU KINA RAS KUNJA WAMEPIGA KAMBI

POSTA MPYA BADO KULIKUA SHWARI

HAYA NDIO YANAYOJIRI HUKO NYUMBANI,HAWA WENZETU NAONA WAO NI KULALAMIKA TUU KILA WANACHOFANYIWA KIWE CHEMA AU KIBAYA,KWA HALI HII NADHANI MUDA SI MREFU WANACHOTAFUTA KITAPATIKANA,SASA NCHI IMEFIKIA MAHALI HAPA SI MZAHA TENA,WENZETU NAONA WAMECHOKA KULA UGALI NA NGURU SASA WANAAMUA TU IWE VURUGU NA IWE,HIVI MTU UNATOKA SWALI KISHA UNAENDA KUANDAMANA MTAANI KWA AJILI YA MUHAMASISHAJI WA FUJO MMOJA ILI IWEJE,MAMBO KAMA HAYA INATAKIWA UTUMIE HATA ELIMU DUNIYA KIDOGO TU UTAYAEPUKA,SASA HAPO HAO JAMAA WAKIPIGWA MWAKA JAPO MMOJA MMOJA TU KWA KUVURUGA AMANI HATA HIYO DINI SIJUI KAMA WATAENDA KUIHUBIRI JELA,MAANA KULE WATAKUTANA NA MAHAFIDHINA WATAISHIA KULIWA KIBOGA TU,TENA NA KANZU HIZO KAMA HAWAJAVAA BOXA KAZI WANAYO HUKO SEGADANCE,HAYA TUNAWAACHIA WAO WABABE BANA,SIJUI NA WAKRISTO WAKIAMUA LIWALO NA LIWE KAMA KUTAKALIKA

No comments:

Post a Comment