i s a a c k i n . com

burudani,muziki,michezo&urembo

Wednesday, 17 October 2012

DK ULIMBOKA ASEMA ALIYEMPIGIA SIMU KABLA YA KUTEKWA NA KUTESWA NI RAMADHANI IGHONDU


 Dk. Stephen Ulimboka siku alipowasili nchini akitokea Afrika Kusini kwa matibabu.
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka leo ameeleza ya moyoni baada ya kutoa taarifa yake kwa vyombo vya habari kupitia kwa wanasheria wake ambao ni Shayo na Nyaroro Kichere. Taarifa hiyo imeeleza kuwa aliyekuwa anawasiliana nae kabla ya kutekwa, kupigwa, kufungwa mikono na miguu, kunyofolewa kucha na kutolewa meno na hatimaye kutupwa katika msitu wa Mabwepande usiku wa Juni 26 mwaka huu ni Bwana Ramadhani Ighondu ambaye alidaiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa ni Ofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). Katika taarifa hiyo Dk. Ulimboka anaeleza kushangazwa na kutokamatwa mtu huyo mpaka sasa na kudai kuwa yeye yupo tayari kutoa ushirikiano kwa tume huru japo mpaka sasa haijaundwa.

GPL
Posted by isaackin at 12:01
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

My photo
isaackin
View my complete profile

isaackin facebook

Isaackin Isaac

Create your badge

follow isaackin on twitter

Tweets by @isaackinisaac

WATCH STARTV LIVE HERE

  • STARTV LIVE

BONGOMOVIE HAPA CHINI

  • GREATLAKESMIX.COM

Search This Blog

Followers

wanablog

widgeo.net

COUNTER

Website counter

bolingo mix


MusicPlaylist
Music Playlist at MixPod.com

My Blog List

  • MICHUZI
    TARI Yahimiza Matumizi ya Kilimo Hifadhi
    3 hours ago
  • MAISHA NA MAFANIKIO
    NAPENDA KUWATAKIENI KHERI SANA YA MWAKA MPYA 2024
    1 year ago
  • Swahili na Waswahili
    Kikombe Cha Asubuhi; Mathayo 11....
    4 years ago
  • STRIVE FOR LIFE
    OOOOH! HOW I MISSED YOU GUYZ.
    10 years ago
  • Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI
    Cheka nuna.
    11 years ago
  • RAY THE GREATEST
    HARD PRICE COMING SOON
    11 years ago
  • 8020 fashions
    TUNAHAMA
    12 years ago
  • Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
  • Lady Jay Dee
  • BONGO STAR LINK

Blog Archive

  • ►  2015 (7)
    • ►  June (3)
    • ►  May (1)
    • ►  March (3)
  • ►  2014 (62)
    • ►  September (4)
    • ►  July (6)
    • ►  June (7)
    • ►  May (8)
    • ►  April (7)
    • ►  March (13)
    • ►  February (8)
    • ►  January (9)
  • ►  2013 (358)
    • ►  December (14)
    • ►  November (17)
    • ►  October (22)
    • ►  September (32)
    • ►  August (23)
    • ►  July (23)
    • ►  June (20)
    • ►  May (41)
    • ►  April (38)
    • ►  March (33)
    • ►  February (48)
    • ►  January (47)
  • ▼  2012 (1017)
    • ►  December (41)
    • ►  November (76)
    • ▼  October (112)
      • BASI LA ABOOD NAMBA T 545 AZE LA KUTOKEA DAR KWEND...
      • STOCKHOLM SAA 10 JIONI!
      • Sweden braces for week of heavy snow
      • Kova kuanza kusaka mtandao wa vipeperushi
      • DIAMOND NA WEMA WANASWA WAKIGONGA PILAU LA IDD TAN...
      • Sweden to get 50,000 asylum seekers in 2013
      • Dekula Band"Ngoma Ya Kilo"live sodra 02-03/11/2012
      • Hukumu ya Kesi ya mauaji ya Marehemu Swetu Fundiki...
      • Dar waanza kutumia usafiri wa treni
      • Storm Sandy causes severe flooding in eastern
      • USAFIRI WA TRENI WAANZA RASMI DAR
      • Hurricane Sandy closes in on US East Coast
      • Clocks turn back to welcome winter
      • JISTULI!
      • Icy roads after season's first snow hits Stockholm
      • ANNA TIBAIJUKA AHUTUBIA BUNGE LA SWEDEN
      • EID MUBARAQ WADAU!
      • Sweden takes lead in EU Balkan visa push
      • YEAH SNOW IS HERE TO STAY FROM NOW ON!
      • SIKIA WAZIRI WA ELIMU ALIVYO KILAZA NO 1
      • VIONGOZI UAMSHO WARUDISHWA TENA RUMANDE
      • Profesa Anna Tibaijuka ziarani sweden
      • Kids of illegal immigrants can go to school: Sweden
      • DALLAS WA WOLPER AMNYANG’ANYA GARI BOB JUNIOR
      • MAX BUSHOKE IN STOCKHOLM READY FOR THE SHOW ON SAT...
      • Lowassa Aendelea Kunyanyasa CCM
      • IPE MANENO HII PICHA
      • FM ACADEMIA JASMINI SEBENE LIVE LADIES DANCING
      • NURU THE LIGHT NEW VIDEO PHOTOSHOOT-CHAPA LAPA
      • RwandAir’s new CRJ900 jet touches down
      • BUSHOKE LIVE IN STOCKHOLM
      • Liundwe jeshi maalumu kulinda mbuga za wanyama
      • Viongozi wa Uamsho, mahakamani Zanzibar
      • MIL. 700 ZILIZOFICHWA KWA MRAMBA ZIKAIBWA, ZAZUA U...
      • Sweden to boost foreign student scholarships
      • 4 TONS OF IVORY CAUGHT IN HONG KONG; CONTAINERS CA...
      • PATA VITU TOKA KWA BOZZI BOZIANA,KOFFI OLOMIDE NA ...
      • ASKARI FFU AUWAWA ZANZIBAR
      • NAZIMISS HIZI HATUA TATU ZA NYAMA CHOMA
      • CHEKA KIDOOOGO!
      • SARA GALAN (professional dancer @ SAFARI CLUB
      • Ghasia zakumba Tanzania na Zanzibar
      • PICHA ZAIDI ZA MAANDAMANO NA VURUGU ZA WAISLAMU SE...
      • PICHA-MAANDAMANO YA WAISLAMU DAR KUELEKEA IKULU YA...
      • NENO LA MWISHO LA KAMANDA BARLOW KWA MKEWE
      • HOSPITALI YA MISSION YA IGOGWE YATIMIZA MIAKA 50 Y...
      • UNDP Yaipongeza Tanzania Kwa Jitihada Za Maendeleo
      • SALAAM ZA MAASKOFU WA KKKT KWA WATANZANIA WOTE KUH...
      • Tanzanian Muslim cleric Ponda Issa Ponda arrested
      • Tanzania and Oman signed various agreements aimed ...
      • 'Toxic' powder sent to US embassy: police
      • USALAMA WA TAIFA WATOA TAMKO KUKANUSHA MADAI YA UL...
      • JOSE CHAMELEON ON UGANDA 50 YEAR INDEPENDENCE SHOW...
      • WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAKAMATWA WAKIANDAMANA LEO
      • DK ULIMBOKA ASEMA ALIYEMPIGIA SIMU KABLA YA KUTEKW...
      • Sweden issues alert over dyed pork sold as beef
      • sheikh ponda akamatwa,waislamu wazusha vurugu tena
      • VURUGU ZAIBUKA ZANZIBAR BAADA YA KIONGOZI WA UAMSH...
      • HAPPY BIRTHDAY MAMA CHANJA ISABELL
      • DOCUMENTARY-THE LEGACY OF NYERERE
      • Kenyan official killed in 'secessionist violence'
      • MWILI WA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MWANZA MAR BH...
      • WEMA, AUNT EZEKIEL WAWAOMBA RADHI WATANZANIA KWA K...
      • TAARIFA KWA UMMA: Madini, Mafuta Na Gesi
      • Sweden braces for snow as mercury plummets
      • ATCL WASHUSHA NDEGE NYINGINE
      • TANZANIA YASHITAKIWA MAHAKAMANI THE HAGUE
      • JK ATEMBELEA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA WAISLAM MBAGALA
      • UPDATE KIFO CHA KAMANDA:MAJIBU YA MASWALI MENGI YA...
      • Dekula Band"Ngoma Ya Kilo"live @stockholm sodra 19...
      • PICHA ZA ENEO LA TUKIO ALILOPIGIWA RISASI KAMANDA ...
      • KAMANDA WA POLISI MWANZA AUWAWA NA MAJAMBAZI
      • VURUGU ZA WAISLAM MBAGALA KATIKA PICHA
      • MDUDUS,NNA NJAA!
      • Syrian passenger plane forced to land in Turkey
      • EEH HAPA ARI HAKUNA,NGUVU IMEISHA NA KASI HAIWEZEK...
      • UPAPARAZI WATAKA MOYO SOMETYME
      • Uchumi wa dunia watetereka zaidi
      • RIPOTI YA MWANGOSI YAZUA MAZITO
      • ATCL yatangaza kuanzisha safari za ndani nyingine ...
      • BATA ZA FIESTA 2012 DAR
      • RIPOTI KIFO CHA MWANGOSI KUWEKWA WAZI LEO
      • SYLVANUS &PARTNER AB-USED TRUCK EXPORT
      • MISS AFRICA CROWN 2012 WINNERS!
      • WACHINA WADAIWA KUIHUJUMU TANESCO
      • ALIYEDAI KANUMBA FREEMASON ADAIWA KUFA GHAFLA
      • DEDICATION TO MY LATE FATHER NAZARETH AND MY NEW B...
      • SNACK MENY AT MISS AFRICA PRESENTATION PARTY TOMMOROW
      • HAPPY BIRTHDAY LILIAN!
      • ONE DAY TO GO MISS AFRICA SCANDINAVIA PRESENTATION...
      • UGANDA 50TH INDEPENDENCE THIS SAT 06 OCT 2012
      • Mother suspected of abducting own kids
      • BEI YA MAFUTA YAPOROMOKA GHAFLA
      • DIAMOND BIRTHDAY PARTY KATKA PICHA DE,MAG HOTEL
      • 13 killed, 99 injured in road crashes
      • Sumatra yakwamisha usafiri wa treni Dar
      • Malawi pulls out of border dispute talks
      • New Song-Momba feat. Juma Nature - Mdundiko
      • DIDA AJIBU MAPIGO ISHU YA KUMLAMBA DALLAS WA WOLPER
    • ►  September (103)
    • ►  August (120)
    • ►  July (127)
    • ►  June (67)
    • ►  May (69)
    • ►  April (77)
    • ►  March (80)
    • ►  February (74)
    • ►  January (71)
  • ►  2011 (890)
    • ►  December (80)
    • ►  November (67)
    • ►  October (41)
    • ►  September (56)
    • ►  August (86)
    • ►  July (84)
    • ►  June (91)
    • ►  May (82)
    • ►  April (78)
    • ►  March (75)
    • ►  February (70)
    • ►  January (80)
  • ►  2010 (503)
    • ►  December (75)
    • ►  November (71)
    • ►  October (79)
    • ►  September (83)
    • ►  August (77)
    • ►  July (38)
    • ►  June (13)
    • ►  May (7)
    • ►  April (14)
    • ►  February (14)
    • ►  January (32)

amazon

copyright@isaackin.com. Picture Window theme. Powered by Blogger.