Thursday, 25 October 2012

SIKIA WAZIRI WA ELIMU ALIVYO KILAZA NO 1
"Tanzania formed by unifying Zimbabwe and Pemba"
realy???
halafu hata hajajishtukia kaendelea kumwaga utility wake kwa kwenda mbere,sasa utashindwa kuelewa kafanya kusudi au karuka mstari wakati wa kusoma au yule aliyemwandikia hiyo presentation kaamua kumuingiza mjini?yote yanawezekana maana Tanzania ya sasa hivi sio ile uliyokuwa unaipenda kwa moyo wote mdau,Tanzania kwa sasa wanaipenda wao walioko madarakani kwa moyo wote.raia wa kawaida amekuwa mgeni au mkimbizi ndani ya nchi yake.

No comments:

Post a Comment